Recent content by Fannjosh

  1. F

    SoC03 Wahudumu wa afya, msinyanyase wagonjwa na wajawazito. Wanaosababisha vifo vya makusudi washitakiwe kwa mujibu wa sheria

    UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
  2. F

    SoC03 Mabilioni ya pesa yanayotafunwa na wachache yangetumika kundeleza wabunifu tungekuwa mbali sana

    Utangulizi Katika kukua kwangu, nimebahatika kusikia na kushuhudia wabunifu wengi katika nchi yetu. Mfano: Kuna mtu alitengeneza umeme wa kinyesi, mwingine gari, mwingine ndege inayoruka kwa injini ya piki piki, mwingine stesheni ya redio na wengine kibao. Imekuwa ni historia katika nchi yetu...
  3. F

    SoC03 Lolote utendalo kwa mwenzako kuna siku litarudi maishani mwako

    Hujawahi kusikia kiongozi anafanya ubaya akiwa madarakani na baada ya muda wake kuisha madarakank anaishia kusota jela?
  4. F

    SoC03 Lolote utendalo kwa mwenzako kuna siku litarudi maishani mwako

    Hata likija kwa kizazi chako, lazima litokee ukiwa hai ili uthibitishe kuwa hii ni Law of Universe
Back
Top Bottom