Nauza simu yangu mwenyewe samsung s8 plain Gb 64.
Pamoja na hizo ear buds ntakuuzia Tsh 290,000
Simu peke yake nitakuuzia 260,000
0654846084
Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Hii simu ni used ninaitumia mwenyewe. Ukubwa ni Gb 64 internal memory rangi ya gray ina crake nyuma ila kioo ni kizima kabisa.
Nauza pamoja na ear buds Tsh 290,000 lakini kama unahitaji simu pekee nakuuzia 260,000. Ntakupa charge yake pia.
0654846084
Sent from my TECNO CD6j using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.