Recent content by FANANI NA HADHIRA

  1. F

    JamiiForums Tumaini university Makumira na pesa za HESLB ni kizungumkuti

    Nimelithibitisha hilo, sasa hawa kwani wengine siyo wanafunzi? KWA NINI MAJINA NUSU? TENA ZAIDI YA 300? Huku ni kukosea au? Na kama wamkosea kwa nini kusiwe na uwazi juu ya kinachoendela? Hii inaweza kuchangia sana jamii inayoowaamini kupoeza imani na uongozi hasa wa wanafunzi nakadhalikao_Oo_Oo_O
  2. F

    JamiiForums Tumaini university Makumira na pesa za HESLB ni kizungumkuti

    Sina uhakika lakini pia tunasubiri tamko juu ya hawa wengine ambao majina yao hayaonekani (BEDPE II & III; BEDMATH II & III na BEECE II & III)
  3. F

    JamiiForums Tumaini university Makumira na pesa za HESLB ni kizungumkuti

    Ahsante mkuu kw mchango wako mzuri, tuendelee kujuzana jamani
  4. F

    JamiiForums Tumaini university Makumira na pesa za HESLB ni kizungumkuti

    Wanafunzi mwaka wa pili na wa tatu katika chuo cha TUNAINI UNIVERSITY MAKUMIRA bado hawajapata stahiki zao za chakula na malazi pamoja na kwamba kuna baadhi ya vitivo vimeshasain tangu ijumaa. Kubwa kabisa ni kuwa kuna baadhi ya vitivo havijaona hata jina moja, hao ni BEDPE II & III; BEDMATH...
Back
Top Bottom