Recent content by Faithlady

  1. Faithlady

    TCC wanatangaza wapi nafasi za kazi?

    Jamani hiv hawa tcc hua wanatangaza wap nafasi zao za kazi..msaada mana sijawahi kuona tangazo la tcc
  2. Faithlady

    Aplication form ya Viettel

    namimi nitumiwe jamani ndefulo@gmail.com
  3. Faithlady

    Ocean road hospital kupima kansa

    poleni,hiki kitu mi pia nlishawah ambiwa na mtu tuu lakin sio docta ila nilikua namuulizia kuhusu kupima breast cancer akanambia ni bure matibabu ndo unagharamia ila sikupata uhakika. ngoja waje wanaojua watakujibu gal.
  4. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    thanx my dear i believe i will be healed
  5. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    ahsante sana umenitia moyo kwakweli mana nlikua nawaza kufa kufa tuu ila mlipoanza kuchangia uz wangu angalau napata ahuen hata kabla ya kupima. ntaenda hosptal jumatatu then ntaona watanambia nini mana mara ya mwisho dr alinambia nikapima kipimo cha mammagraphy coz ultrasound ilikua haionesh...
  6. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    thanx kwa ushaur wako nimeshaondoa hilo wazo nw,ntaufanyia kaz ushaur wako
  7. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    thanx kwa ushaur wako ntaufanya kazi
  8. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    nafaham na nikijipima sioni uvimbe ndani ya titi sema ni maumivu kwa ziwa la kulia na kuna kiuvimbe kidogo sana chin ya kwapa near titi ambacho kimeanza kuonekana last month ndo kinachonipa mawazo kua isije kua kansa
  9. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    thank you kwa ushauri wako na msaada nkifanikisha kupata vipimo ntakujuza
  10. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    tatizo sijui wapi nikapime mana nimeenda hospi karibu tatu kote wananifanyia utrasound basi wananambia hakuna tatizo wakati chini ya kwapa karibu na ziwa nina kiuvimbe kidogo sn nimekigundua mwez ulopita kuanzia mwaka jana yalikua maumiv tuu ndo nkaona bora nielekee huko may b kuna vipimo zaid.
  11. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    nipo mbeya mjini,just nielekeze ntashukuru
  12. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    please and please i need your help guys
  13. Faithlady

    Msaada juu ya kansa ya titi wadau

    habari zenu,mwenzenu nasumbuliwa na maumivu kwenye ziwa langu la kulia yapata mwaka sasa, nimetibiwa kwenye hospital za kawaida bila mafanikio sasa nataka kwenda kupima kansa dar es salaam nami nipo mkoani nilikua nauliza anayejua hospital nzuri kwa ajili ya hivyo vipimo vya saratani ya titi...
Back
Top Bottom