Ili uchama usihusike nini kiwekwe kwenye katiba hiyo ya vijana soma maoni ya mwanzo.
Hii ni hatari kwa Taifa kama vijana tutakuwa Tunajadili issues za Taifa kwa mlengo wa kivyama badala ya Utaifa that's dangerous
Lazima tubadilike tupende kujisomea kufuatilia na kuhoji hoja kwa hoja au...
Kijana anaweza kuwa mkulima, mfugaji, mlemavu, mvuvi, msanii, mjasiriamali, n.k hizo ni shughuli hazina uhusiano na jinsi ya ubinadamu vijana wenzangu think big
Kwanza lazima uelewe kuwa baraza LA vijana halina uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya ijayo Zanzibar wapo kwenye mchakato hatua za mwisho kupata katiba ya baraza LA vijana lakini katiba ya Zanzibar haki na sehemu yoyote inataja baraza LA vijana pili nchi zote za Afrika mashariki hakuna...
BARAZA LA VIJANA TANZANIA MUUNDO, DIRA NA MALENGO
1.0 UTANGULIZI
Tulipopata uhuru 1961, hapakuwa na sera rasmi ilkiyokuwa inaelekeza nini kifanyike kwa ajili ya maendeleo ya vijana nchini. Takribani miongo mitatu ndipo Sera ya Vijana ikawa imepatikana, lakini Kwa kipindi hiki kirefu miongozo...
Na kuhusu malipo ya viongozi ngazi za chini ya wilaya ni kutokana uwezo wa kifedha wa baraza lenyewe ila kutakuwepo posho kulingana na majukumu watakoyopewa huko lakini wao hawatakuwa waajiliwa
Ndugu Yangu shardcole sifa za kuwa kiongozi ni general qualification kuanzia ngazi ya kata hadi Taifa uzoefu wa kiungozi may be kwenye masuala ya vijana itategemea na ngazi unayoomba kugombea mfano ya Taifa na suala la umri pia sio lahisi Kijana mwenye umri miaka 18 kushinda nafasi ya...
1.0 UTANGULIZI
Tulipopata uhuru 1961, hapakuwa na sera rasmi ilkiyokuwa inaelekeza nini kifanyike kwa ajili ya maendeleo ya vijana nchini. Takribani miongo mitatu ndipo Sera ya Vijana ikawa imepatikana, lakini Kwa kipindi hiki kirefu miongozo iliandaliwa na kutekelezwa na...
1.0 UTANGULIZI
Tulipopata uhuru 1961, hapakuwa na sera rasmi ilkiyokuwa inaelekeza nini kifanyike kwa ajili ya maendeleo ya vijana nchini. Takribani miongo mitatu ndipo Sera ya Vijana ikawa imepatikana, lakini Kwa kipindi hiki kirefu miongozo iliandaliwa na kutekelezwa na...
Nimemshauri Dr.kigwangala na wagombea wengine wowote badala ya kuzunguka wanatangaza nia za kugombea uchaguzi ujao wajikite kwenye issues zinazosumbua jamii yao mfano wao ni wabunge wanaisimamia VP na kuishauri kupitia hoja binafsi juu ya suala la uchumi wa nchi kuonekana unakuwa huku umaskini...
Umuhimu baraza la vijana Tanzania ni muhimu sana katiba inayopendekezwa imependekeza kuwepo kwa Baraza la Taifa la vijana Ibara ya 54 uwepo wa baraza kwangu ndani ya katiba sio Tatizo kwani imetambua au imeainisha msingi wa sheria na uwepo wake baadae bunge litatunga sheria ya kuainisha...
natamani vijana wote tungekuwa kila mmoja anakuja na hoja ya nini kifanyike kunusulu kizazi cha vijana na tatizo la ukosefu wa ajira wanataabika sana hali ni tofuti vijana wanashindana kujadili personal issues au attacking personality badala ya kujadili issues then tukaja na sauti moja...
MAONI YANGU KUHUSU TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA TANZANIA
TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA TANZANIA
Tatizo la ukosefu wa ajira ni suala ambalo limeendelea kuwatesa vijana katika nchi yetu licha ya takwimu za uchumi wa Tanzania kuonesha kukua kwa wastani wa asilimia 7.1 na kufanya vizuri...
1: itengwe Ardhi kila wilaya kwa ajili ya kilimo nchi nzima kuondoa taabu ya vijana kukodi ardhi au shamba kwa ajili ya kilimo watengewe maeneo maalum.
2: kuboreshwe mfumo wa masoko ya kilimo na taarifa zake (commodities exchange) unampa fursa mkulima kujua bei ya bidhaa yake sokoni...
nakubaliana na wewe Ben mfano Nigeria ukiondoa sekta ya mafuta na ya mawasiliano zilizochangia GDP ni sekta ya muziki na filamu za Nollywood ndiyo inafuata pamoja na kuirasmisha sekta isiyo rasmi inahitajika mikakati ya kisera na kisheria mfano hapa kwetu wasanii kila siku wanalia njaa tuu na...
nakubaliana na wewe Ben mfano Nigeria ukiondoa sekta ya mafuta na ya mawasiliano zilizochangia GDP ni sekta ya muziki na filamu za Nollywood ndiyo inafuata pamoja na kuirasmisha sekta isiyo rasmi inahitajika mikakati ya kisera na kisheria mfano hapa kwetu wasanii kila siku wanalia njaa tuu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.