Habari Wana JF naombeni mnisaide kunipa mchanganuo wa biashara ya kuuza vyombo vya majumbani mtaji wake sehem vinavopqyikana kwa jumla na Bei zake [emoji120]
Habari zenu wana JF NAOMBENI mnishauri mm Ni kijana wa miaka 23 napenda sna kujiajiri japokuwa nasoma chuo arusha nahitaji kufanya biashara ya spices "VIUNGO MBALIMBALI VYA KUPIKIA" sasa sjui NIANZIE wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.