Mwe ndagha mwendie!
Ni kweli,dume sio mjadala,dume hatajwi bei kama ilivyo,lakini jamii ya kinyakyusa ni pamoja majigambo, na matambishiano,hivyo mtoto wa kiume lazima aonyeshe kwamba yupo na ataendelea kuwepo.Vipo vituko na michezo mbalimbali wakati wa sherehe hizo.Na kama unaona hiyo gharama...