Two wrongs does not make it right.
Hata kama ilishatokea waalimu kutokulipwa fedha zao za nauli ya likizo kwa wakati, hiyo siyo haki; ni ukandamizaji na unyanyasaji ambao ofisi yetu ya Elimu Magu DC imekuwa ni kawaida yao kwa kisingizio kwamba FEDHA HAZIJASHUKA; wizi mtupu!!
Wahusika warudishe...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla shule hazijafungwa; tukitarajia kwamba malipo yangefanyika mapema au mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.