UBI SOCIETAS IBI JUS
Katika jamii kuna makundi ya watu mbalimbali na kila mtu ni tofauti na mtu mwingine, upekee alionao kila mtu hutofautiana na mwingine hata katika, familia au jamii moja.
Mfano; Familia inaundwa na Wazazi na Mtoto, baadaye familia hiyo itakuwa na Watoto hata wajukuu.
Kati ya...
Historia ni ya kweli.
Kuhusu sababu za Mapinduzi yaliyotokea Ulaya na Asia miaka ya 1600-1800 sehemu kama Wingereza, Ufaransa, Austria, Urusi na sehemu nyingine. Kama Viongozi basi wangepitishwa kwenye sababu, na matokeo ya matukio hayo, basi hii ingesaidia katika kuwa na uongozi bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.