Recent content by expter

  1. expter

    SoC02 Jinsi Bodaboda ya mkataba ilivyonipa Degree na mtaji wa Biashara

    Habari wanajukwaa wenzangu.Ni matumaini yangu kila mmoja yu buheri wa Afya. Mimi ni kijana niliyemaliza kidato Cha nne miaka kadhaa iliyopita lakini isivyobahati sikufaulu yaani nilifeli kidato Cha nne. Baada ya matokeo nilikuwa na huzuni sana kwani nilikuwa napenda sana kusoma na darasani...
  2. expter

    MSAADA: Anaye jua biashara ya kuagiza magari kutoka Japan anijuze

    MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja ninao coz nimefanya masoko kwenye makampuni mbalimbali lakini sijawahi kufanya biashara ya magari...
Back
Top Bottom