Inachukua masaa 23 na dk 56 (24 hours ) kukamilisha rotation,
Na clip ina sec 25 tu.
Bro are you serious unataka uuone huo mzunguko unavyofanyika kwenye sec 25 ya hii clip ???
Hili swali ungejiuliza hata kwa nadharia yako hiyo hiyo ya jua kuizunguka dunia, Je umewahi kunotice jua linavyofanya...
Hauna majibu umeanza porojo,
Nlikupa mfano halisi wa meli ambayo nlikua naitizama ikiwa inaondoka nadhani unakumbuka, Wewe ulipinga sana kuwa macho yana uwezo mdogo kuwa nlichokiona sio uhalisia,
Sasa hivi upo kutetea hili ambalo ulipinga siku za nyuma.
I'm done with you bro, Nmeshafahamu...
Na ni wewe huyo huyo unapinga ship visibility, Unasema ni uwezo mdogo wa macho ha ha ha! So funny
Nmewahi kukwambia ndio nyinyi mkiwa kwenye gari mnaona miti ndio inakimbia
Kuna jambo nachunguza, Ntakuja kutoa majibu hapa.
Nkiachana na hilo nina swali kwako.
Na hili swali ni "zao" kutoka kwenye swali la mdau wa dunia ni flat kama wewe.
Yani swali lake ambalo tayari nlimjibu kwa kumtaka achunguze kujiridhisha liliibua maswali ya kuwauliza nyinyi mnaodai dunia ni...
Nasoma hoja yako hii,
Hapo kwenye kutumia macho kama njia ya kubaini umbo la dunia, futa kabisa hiyo.
Kuna vitu vidogo tu huwezi kutumia macho yako mpaka vipimo...Mfano Ujenzi, Michoro ya mistari na maumbo tofauti,
Hivyo nlivyoorodhesha hapo ukitumia macho yako unaweza ona kila kitu kipo...
Tarehe 9
sehemu
Tarehe 9 sehemu ya milky way galaxy ( hii yetu ) itaonekana kwa uzuri upande wa mashariki bila kutumia darubini.
Usikose kukaa nje siku hiyo ujifunze mambo mengi alafu tutakuja kuulizana maswali hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.