Recent content by Expendabe

  1. Expendabe

    Best Apps to Train your Brain (changamsha akili)

    hey guys, je ushawahi kucheza game za chemshabongo(kichangamsha akili)? , sasa leo rafiki yangu kanionyesha hizi apps nikaona ni vyema nishee na marafiki ili tuweze kufaidika wote , kiukweli hizi games zimetekeleza zilichoahidi, Ni games moja nzuru sana ambayo haichagui umri,inakuchangamsha...
  2. Expendabe

    Njia Rahisi Ya Kutumia Application Za Window Kwa Android

    hey guys, muda si mrefu tutaweza kutumia application za window .exe kwa android phone .apk , hili limekuwa tatizo kwa watu wengi sana ,unakuta application nzuri kwenye computer yako, unatamani ungekuwa nayo kwenye kiganja android kwa matumizi rahisi, lakini ni vigumu kwa sababu ni majukwaa...
  3. Expendabe

    Tembea barabarani salama wakati ukiwa unachati

    Hey guys, nimeipata hii app nzuri nikaona ni vyema kushare na marafiki, hususani wale wanaotembea barabarani huku wakiwa wanachat, kiukweli ni usipendelee kutumia simu ukiwa unatembea barabarani lakini ,kuna wale wenzangu na mimi ni vigumu kuacha kwa hiyo jaribu application hii ya iris ukiwa...
  4. Expendabe

    Ni mwaka gani ulitumia intanetikwa mara ya kwanza?

    2000 nilikuwa na laptop yangu
  5. Expendabe

    Google wamekuja na kitu kipya tena!

    Dah google wapo juu
Back
Top Bottom