hakuna alieweka mkazo,imewekwa sheria kama kulivyo na sheria ya kuzuia ubadhilifu wa mali ya umma iyo mkazo umeona ww infact sheria ilitakiwa iwepo bfor hand,they ar late
naona unahama kwenye mada mkuu.....
pia kuna tofauti kat ya kuwepo kwa sheria na kupatikana na hatia!!
ufisadi upo tanzania hakuna anaekataa ila kuwepo kwa ufisadi haimaanishi hakuna sheria ya kupinga ufisadi.....sheria ipo lakini wanaohusika wana namna ya kuua ushahidi hivyo sheria inashindwa...
kuna kitu kimoja watu kama ww hamuelewi...leo hii obama akisema ufisadi ni halali.utakaa ndani usionyeshe msimamo wako jus bcoz kuna makosa mengine kama uongo...wizi...uzinzi havijaongelewa kwenye sheria??
response ya africans in relation to homosexuality imetokana na western pressure kuimpose...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.