Recent content by EX COP

  1. EX COP

    JamiiForums Tanzania Majambazi wakamatwa baada ya kupora fedha Sinza Dar

    Ingekua enzi zangu nawaamnia wakimbie kidogo halafu.....
  2. EX COP

    JamiiForums Tanzania Magaidi wavamia kijiji cha Msolwa Ujamaa, Kilombero

    Sasa hayo mabomu yanawasaidia nin?
  3. EX COP

    JamiiForums Tanzania Nimekunywa PEPSI ndani ina kifuniko

    Utajiri huo mkuuu
  4. EX COP

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Wakati mzungu anafikiri namna ya kuboresha biashara zake kwa kutengeneza kompyuta, sisi tunaua albino ili tuboreshe bishara zetu
  5. EX COP

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Mkuu umenifanya nivunje amri yangu ya kununa ninaposoma barua za madeni...
  6. EX COP

    JamiiForums Tanzania Laiti ningekua bado Polisi ningefunga wengi sana, Siku hizi Bongo kila mtu dereva

    Mkuu ulitegemea nini kwa mtu anaekutusi? Umeona alichosema yeye? tatizo hutu tu mbulumundu twa siku hizi tunajiona twenyewe tujanja sana kwa kutoa lugha chafu wakati mada yangu sijamtusi mtu ila nakemea. Mimi nimemjibu kama alivyoniuliza
  7. EX COP

    JamiiForums Tanzania Laiti ningekua bado Polisi ningefunga wengi sana, Siku hizi Bongo kila mtu dereva

    Mama yako ni mke wangu wa tatu, sasa sijui kwa nini humheshimu mama yako, Au hujui nani anaesababisha uende choo kila siku hapo nyumbani? Unasubiri mpaka siku unione natoka na taulo chumbani kwa mama yako ndio uniheshimu au?
  8. EX COP

    JamiiForums Tanzania Laiti ningekua bado Polisi ningefunga wengi sana, Siku hizi Bongo kila mtu dereva

    Ndugu zanguni Kila kukicha nikichungulia habari humu kifua kinanijaa sana kwa hasira natamani kupasuka Nimegundua kuwa kutokana na maisha kuwa mazuri bongo na kusababisha ongezeko kubwa la midle class , basi kila mtu kawa dereva, yaani udereva siku hizi ni sawa na kuendesha baiskeli...
  9. EX COP

    JamiiForums Tanzania Ajali njia panda ya Mabibo

    Siku hizi kila mtu ni dereva bongo, hata magari nayo yanajiendesha tu
  10. EX COP

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Labda nikuambie tu kuwa sikuelewi, ongea kiswahili nitakuelewa
  11. EX COP

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    How? because we can speak their language?? Think twice Brother, these guys are more blessed than us ...
  12. EX COP

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Juzijuzi tu hapa teja mmoja alikufa kwa kupigwa shoti na umeme alipokua akijaribu kuiba mafuta ya transforma
  13. EX COP

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Leo wa south wamekuja na ujinga mwingine wa kukabiliana na ukimwi....
  14. EX COP

    JamiiForums Tanzania Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Sisi uwezo wetu umeishia kurusha ungo ambao ukikatiza anga za makanisa ya siku hizi lazima uanguke...
Back
Top Bottom