katiba mpya ihusishe kubadilisha mfumo wa uongozi wa kubeba madaraka mengi.Iwezekanaje mbunge awe waziri,mwenyekiti wa bodi mbali mbali,mfanyabiashara n.k huku akihusishwa na shuhuli za kiserikali zinazomkabili kulitumikia taifa,atawezaje kushika nyazifa zote hizo mtu mmoja kama sio kujali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.