Recent content by eveready

  1. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Ndo mkatoe ushahid na sio kulia lia. Nani hajaiba nchi hii,hata hao waliomuita mwizi wanawajibishwa now,jambazi anamcheka mwiz wakati na yeye anahusika
  2. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Hujui usemacho...jumamosi njema..
  3. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Una heri mwenye afya njema...basi na maofisini tupimwe afya kama tuna maradhi turudi nyumbani tusije dhalilisha.Dah...una mawazo mazur sana na hongera ila omba sana
  4. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Ndo maana anapewa tuzo maana hakutaka makuu.ila tuchunge vinywa vyetu maana sisi sote ni binadamu na pia kama jambo hujalishuhudia tusiweke ushabiki maana ni dhambi hata mbele za Mola.hata walevi wanajinyea na kujikojolea lakin kukikucha hamna anaesema Jana pale baa au kilabuni ulijinyea...siasa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Uliona?....una umri gan wewe...binadamu afadhali ya simba si ajabu unaishi tandahimba halafu unashabikia ujinga. Ivi nikuulize kipindi kile cha the utamu walivyomtoaga mheshimiwa anashughulikiwa was it true???bado nasisitiza utu ni kitu muhimu.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Mnasubir nini kumkamata. Ni sawa na mchungaji kusema muumini ana pepo halafu hamtoi pepo anaishia kulalama kuwa pepo yupo.Ni mamlaka na vitendo na sio kubwabwaja
  7. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Mungu akusamehe.kama hujushuhudia na ukaamua kuandika haya.tuwe na utu jaman
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Wakati Rais kaenda Muhimbili na makamera watu tulisema sio sahihi tukapondwa humu humu...Ni kweli mambo ya kwenda na media kushtukiza sio sahihi lakin kumbuka wananchi wanashangilia wakati wengine wakiumbuka.so tuzoee tuone sio sifa na si ajabu kesho au keshokutwa tukawa sisi.na mpaka dakika hii...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Hapa tunajichanganya..traditional medicine inaruhusiwa na INA lesen na sheria zake...ninachokion kwa Mwaka tatizo ni ile kuingilia modern medicine ambayo hajaisomea na yule anagoogle.alie Dr atanielewa..remember to be a gynaecologist its not less than nine years..5yrs Medical Dr+one year...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Bado hujacheza na cadava...watu wanadhan ni lelemama mpaka kuitwa Dr.kama ingekuwa rahisi mi ungekuta Nina PHD now...ila one year kuna viumbe wanatetea n tena nahis alipiga distance learning.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Mkuu usiseme sifa...Dr mwaka alipitiliza,yaan alitka tradition to modern..yaan wengne tulikuwa tunashangaa why serikali ipo kimya?kumbuka masuala ya uzazi watu wanayatumia kujiingizia kipato na ndan yake matapeli wamekuwa wengi...mtu anagoogle anaanza kujiita mtaalamu.unajua gynaecologist...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Yaan nazid kukuona mjinga wewe...makonda kachaguliwa na nani,kubenea kachaguliwa na kina nani?ask yourself...twende kwa utaratibu na si masuala ya uchama kwa sasa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Huna akili wewe hata robo.unajua mwakilishi Wa wananchi kati ya hao ni nani.?ulaaniwe kwa post yako ya kipumbavu.anaesikiliza matatizo ya wananchi na kupeleka bungeni ni DC?uwe wa kwanza kupigwa jeki na akili zako kuchani
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Bora uongee wewe,unaambiwa kuna mama alienda akaambiwa ana uwezo Wa kuzaa kabisa,kapoteza hela kibao..kumbe kipindi cha nyuma alikuwa na fibroid akafanyiwa operation wakatoa kizaz.ila Mwaka akamwambia ana kizaz.mi naona hii nchi ni shamba LA bibi kila mtu anakula kwa ujanja ujanja.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Wale ni watu Wa traditional medicine lakini Mwaka anavyotibu anavyojitangaza n pengine practice kulingana na vifaa ambavyo pengine kakutwa navyo ni kama modern Dr...mm navyomuelewa Mwaka anasoma kwenye internet modern medicine ndo anajitangaza,ethically modern doctor huruhusiwi kijitangaza na...
Back
Top Bottom