inaumiza sana kutengana na mtu unaempenda ila kwanini uendelee kuumia kwa mtu ambae haoni umuhimu wako kama wewe unavyouona wa kwake kwako?ushaur wangu kama kweli unampenda mpe muda uone kama taona umuhimu wako kwake kama asipo fanya hivyo ujue kuwa hakuwa tayar kufikia malengo ulionayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.