first of all focus na stick kwenye kitu unacho kipenda , lkn pia kozi ziko nyingi sama it is not necessary kung'ang'ana na afya tu au science course pekee , kwa mtu wa PCB ana option ya ku extend na kwenda kwenye course mbali mbali , za finance , account , afya pia , baadhi ya kozi za uandisi...