lazima ni mgonjwa wa akili au anavuta bangi, mtu mzima hawezi kuongea matusi makubwa hivyo bado akawa kiongozi ktk chama, ajiuzuru, uwezo wake wa fikra upo chini sana kuliko hata wa mtoto wa chekechea. watu wa jimbo lake poleni sana kuchagua kichaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.