Recent content by Evans Mwalongo

  1. Evans Mwalongo

    JamiiForums Tanzania Story :- Hakuamini kama inawezekana mpaka nilipomtumia hiki…..

    Ilikuwa majira ya saa 3 usiku nipo zangu nyumbani naangalia movie, Ghafla simu yangu inaita, kucheki hivi, namba ni ngeni, Nikapokea, Upande wa pili inasikika sauti ya mdada ikiongea, “ Hallo, Naongea na Evance??” , Nikajibu ndio, Karibu nikusaidie…. Akaniambia “ Samahani naitwa Grace...
Back
Top Bottom