Recent content by EVANCIAN

  1. EVANCIAN

    SoC02 Elimu ya vitendo ipewe kipaumbele sana kuliko elimu ya nadharia

    KWA pamoja tunaweza! Tafadhali itembelee Makala yangu ya ELIMU KIPOFU na kama itakupendeza naomba kura yako ndugu
  2. EVANCIAN

    SoC02 Elimu kipofu

    Ndugu zangu nawasalimu sana kwa Neema ya Amani tuliyonayo..,. Nawaomba ushirikiano wenu kwa kulipigia kura Andiko langu la ELIMU KIPOFU Ndugu zangu nawasalimu sana kwa Neema ya Amani tuliyonayo.,. Naomba ushirikiano wenu kwa kulipigia kura Andiko langu la ELIMU KIPOFU hapo juu kwa kugusa...
  3. EVANCIAN

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Ahsante kwa andiko lenye tija kwa Africa endelevu, kama serikali zetu zitakuwa sikivu na kutendea kazi maoni ya wazalendo kama haya hakika tutafika mbali
  4. EVANCIAN

    SoC02 Elimu kipofu

    Ahsante Sana ndugu, tuko pamoja na Hakika sitakuangusha
  5. EVANCIAN

    Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Yaani haya mambo bhana!!;; Wanaume tujikubali na tutafute namna nyingne ya kujiburudisha pale mambo yanapoenda mrama kwenye ndoa na siyo kupambana kupata haki zetu kwa Hawa viumbe... Haiwezekani tena kushindana nao!
  6. EVANCIAN

    SoC02 Elimu kipofu

    Na EVANCIAN. Kwa miaka mingi sasa, tumekuwa tukiendelea kushuhudia uporomokaji wa viwango vya Thamani ya Elimu yetu ya Tanzania katika nyanja zote za Uchumi, Siasa, Jamii na Utamaduni ndani na nje ya Nchi. Licha ya jambo hili kuwa hatari sana, Juhudi za kulitatua zimekuwa chache sana na...
Back
Top Bottom