Recent content by ETWGW

  1. E

    JamiiForums Tanzania Binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

    Kufa ni sehemu ya uhai. Uhai umeumbwa uishi, bali hapa duniani uhai una mwisho kwa sababu maumbile ya mwili ni yana mwisho bali maumbile ya roho hayana mwisho wa hapa duniani ila roho inaweza kuishi millele.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

    Pia mwenyezi Mungu anaweza kuingilia Katie akakukinga na kifo na mauti kwa muda fulani, lakini baadae kanuni ya kifo na mauti aliyoitengeza itaendelea tu kufanya kazi.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

    Binadamu mwili wake unaundwa na vitu ambavyo ni genetic material zenye uwezo wa kuoza na kuharibika kuelekea kifo na mauti. Hivyo ni asili ya mwili kuoza na kuharibika.
Back
Top Bottom