Wakuu habari zenu?
Wakuu nimejichanga changa namimi natamani nivute chombo kimoja kati tajwa hapo juu.
Naomba maoni yenu kwa kuzingatia
1. Uimara
2. Upatikanaji wa vipuri
3. Ulaji wa mafuta
4. Iliyotulia barabarani
Sijawahi kuzitumia zote zaid ya kuziona kwa watu ila kutokana na mahitaji yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.