Kutunza mazingira kwa kupiga marufuku vifungashio vya nylon ni jambo zuri sana na muhimu pia litaleta fursa mpya kwa vijana wajasiliamali lakini naona kuna kitu hakipo sawa hapa
1. Kupiga marufuku mifuko ya nylon ni kupoteza ajira(fursa) kwa wale vijana wanaoitwa "kariakoo" yaan wauza mifuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.