Recent content by Esthergroly

  1. Esthergroly

    Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

    Tena wanawake tunanata sana saivi hasa tukijijua wife material[emoji23]hatutaki kuolewa mladi tuu afu ukawe haouse girl kwenye nyumba yako mwenyewe. Mwanamke ni pambo la nyumba.
  2. Esthergroly

    Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

    Wapuuzi sana wanaume, wanaoa wanawake pasua kichwa afu humu wanajimwambafy tena miaka hii mbaka mtoto wa primary analiwa, sijui mtakimbilia wapi[emoji23][emoji23]na sisi tuu ndio tuko hahaa na ndoani tutaendelea kuwanyoosha na huo mfumo dume wenu mbaka muitike ABEE!!!.
  3. Esthergroly

    Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

    Ndoa kwangu ni option..nani anataka kukaa kifungoni? Kua house girl kwa kimvuli cha ndoaa. Labda niolewe na mpemba au m.bara aliejitambua.
  4. Esthergroly

    Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

    Mzoa taka???? Kumbe hujajua tunafataga nn ndoani
  5. Esthergroly

    Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

    Nina 29 mwakani 30 na sina pressure, na bado nanata ukipishana namm utajiuliza huyu ninani kwani[emoji23]Sipo kinyonge eti nisalimie ovyo kutafuta wanaumee. Looh!!!
  6. Esthergroly

    Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Uyo Kansela kakubali kwa sababu zake mwenyewe yeye ninani tumuige?? Ukiamka asubuhi wakat mwenzio anapika chai wewe utapungukiwa nn ukisogeza hata vikombe mezani!! Hamjiamin tatizo nn kwani? Asubuh wakat mwenzio anatandika kitanda we ukiandaa chai utakatika kidole kwan?? Muache upuuz ndo maana...
  7. Esthergroly

    Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Duuh kaaz kwel kwel Dear future husband nimeghair kuolewa
  8. Esthergroly

    Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Ndio maana wanasema ndoa ni uvumilivu wanadanganyana sana, siku hizi ndoa ni paradiso hakuna mateso tena, ukiolewa sio mfanya kazi ni pambo la nyumba kazi mnasaidiana. Mambo ya kwenda job wote mnarudi usiku afu mwenzio anakaa seblen anasubir upike umtengee akila utoe na vyombo uoshe na uandae...
  9. Esthergroly

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unazaaje na mtu na huna mpango wa kumuoa yaan mnaona sawa kabisa eti ooh mtego...yaan mwanaume uzae na mwanamke afu mtoto alee mwanamke peke ake.
  10. Esthergroly

    Kwanini mnawapangia wanawake ukomo wa umri wa kuolewa?

    Uko sahihi kabisaaa mimi nina miaka 29 saivi na wala sina pressure ya ndoa wala mtoto, walionizunguka wanaongea sana ila huwa nawaambia tumetofautiana ww kama kipaumbele chako mtoto zaa kama ndoa subiri uolewe. Ila mimi nilishasemaga na moyo wangu kwamba ndoa au mtoto ni option na mindset za...
  11. Esthergroly

    Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

    Mama kakosea sana..ila mwanaume alikosea zaidi kama alioa uyo mama akiwa na pesa zake,, Wanawake wengi wanaamini heshima ya mwanaume ni kwa sababu ndio huwa wanalea familia yaan pesa anayoacha kila siku mwanaume na kulipa bils ndio inampa heshima ndani ya nyumba Sasa habari ya kuoa mwamamke...
  12. Esthergroly

    Wanawake, mnaweza kukaa muda gani pasipo kukutana kimwili na mwanaume?

    Nakaa hata mwaka sijawah kuzidiwa, ila nikiwa na ham kama nna mpenzi namtext fasta.
  13. Esthergroly

    Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

    Nilikua nasoma comments tuu, wasichokijua wanaume wadada wengi wanaonuka nikwasababu ya umalaya tuu...wachache wanakua na maambukiz ya kawaida, yaan ukishachanganya majasho ya wanaume lazma unuke tuu mbegu zina shombo sana ku..ma,[emoji44]ni Hao mnaowalalamikia wengi ni maslay tuu ambao...
Back
Top Bottom