Recent content by ESTHER Mk

  1. ESTHER Mk

    Kunywa maji mengi asubuhi kunapandisha sukari

    Sina hakika lakin uhakika ni huu, sio sawa kunywa lita 2 asubuhi tu, kwa maana hiyo adi ifike jioni umekunywa lita nyingi ambayo sio sawa kiafya unatoa ad vya maana due to excessive consumption
  2. ESTHER Mk

    SoC04 Tanzania safi ndiyo tunayoitaka

    Ndiyo, asante kwa kuongezea nyama kaka
  3. ESTHER Mk

    SoC04 Tanzania safi ndiyo tunayoitaka

    Tanzania nchi yangu, nchi inayo kua siku adi siku. Kwenye sekta mbalimbali, wawekezaji, watalii ata watanzania wenyewe tunaongezeka, Mahitaji na matumizi pia. Tushawai kuwaza baada ya matumizi ya vitu kama plastiki, karatasi, na taka nyinginezo zisiwe kero kwaku jikita kwenye kuanzisha...
Back
Top Bottom