Recent content by ESM GREARTEST UNIQUE

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hoteli, Mwanza

    nikaz sana marire
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hoteli, Mwanza

    ndugu mbona kimya kuhusu ombilangu bado sijapata kazi nasubiria
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hoteli, Mwanza

    NIliposema service kwenye hotel nalimaanisha kuhudumia wageni vinywaji vya pombe na visivyo vya pombe na maranyingi mhudumu huyu hukaa mazingira ya baa japo naye huweza kuchukua oda ya chakula umenielewa au bado
  4. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hoteli, Mwanza

    kaka tayal nimepeleka hotel kubwa za mwanza mfano gold crest. isamilo lodge,lakairo ,mwanza hotel .na nyingnezo kama 5nina mwezi nasubir majibu lakin hata simu wap kupgiwa
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hoteli, Mwanza

    ASANTE KWA USHAURI ila lakairo nimeishatuma maombi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hoteli, Mwanza

    Naitwa Ely nimehitimu chuo na kufanya field Impala Hotel. Nahitaji ajira kitengo cha restaurant ama service na nipo jijini Mwanza hata kwa anaefahamu mahali wanapohitaji wafanyakazi wa jiko la India aniambie. No zangu ni 0765997567
Back
Top Bottom