Recent content by esham

  1. E

    Car4Sale Gari inauzwa

    Gari inauzwa bei TSH.21,000,000/-TU ipo kwenye hali nzuri sana ilikua inasafirishiwa mikate tu ,mwenyewe kapatwa na shida ya ghafla anauguliwa ,ukihitaji kuiona ipo maeneo ya kigamboni maelezo zaidi mawasiliano,0768496151/0777496161.
  2. E

    Car4Sale Gari aina ya Isuzu inauzwa

    Ipo katika hali nzuri,mmiliki alikua akitumia kutembezea mikate ,kwa sasa ipo Mbeya .Kwa maelezo zaidi wasiliana na no.0768496151 karibuni
  3. E

    Oven ya deki tatu inauzwa

    Jiko la deki 3 ,trey 9 linauzwa, kwa wenye nia ya kufungua bakery ama baking zozote ni jiko zuri sana ni jipya halijawahi kutumiwa, bei mil 5 ,tuwasiliane no.0777482509.karibuni ulimwengu wa wajasiriamali.
  4. E

    AZAM TV mnaamanisha nini kutulazimisha kuangalia taarifa ya habari via Azam App?

    kila ifikapo saa mbili nna kawaida ya kusogea karibu na luninga yangu kwa ajili ya kuangalia taarifa ya habari,inanivutia sana hasa jinsi wanavochambua,ila tangia majuzi nakutana na msg tuangalie habari kwenye azam app,asubuhi pia tuangalie morning trumpet azam app ,sio wote wenye smart phone na...
Back
Top Bottom