Recent content by Escanda Chelebi

  1. Escanda Chelebi

    JamiiForums Tanzania Jinsi gonjwa la ajabu lilivyonitesa na kuniacha kwenye umasikini

    Alhamdulilah me nimepona alafu bahati mungu fundi hata alonisaidia kashamchukua kwaiyo haiwezi ikawa tangazo ila kweli kabisa yapo maradhi ya ajabu mnoo.
  2. Escanda Chelebi

    JamiiForums Tanzania Jinsi gonjwa la ajabu lilivyonitesa na kuniacha kwenye umasikini

    Kwanza huyo ashafariki Mungu amrehemu.
  3. Escanda Chelebi

    JamiiForums Tanzania Jinsi gonjwa la ajabu lilivyonitesa na kuniacha kwenye umasikini

    Hapo wapi nliposema hii biashara mkuu me nimetoa sehemu ya magumu nlopitia ili kama yupo anaepitia asikate tamaa mkuu.
  4. Escanda Chelebi

    JamiiForums Tanzania Jinsi gonjwa la ajabu lilivyonitesa na kuniacha kwenye umasikini

    Salaam wanabodi, Wakuu hii dunia ina maajabu sana hakika kuna kipindi unaweza ukadhani kama mtu anadanganya lakini yamemkuta makubwa ipo Hivi mwaka 2016 mwishoni nilipata ugonjwa wa ajabu sana mwanzoni nilikua napata kiu ya ajabu sana maana kinywa kinakua kikavu hakina hata mate yaani inakua...
Back
Top Bottom