Recent content by ErrorTyping

  1. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hahaha 🤣🤣 kaka ile ndoto tu ngoma bado bila
  2. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hahaa na iwe hivyo mkuu Derby nikaiangalie kituo kipya
  3. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kaka me nimeota status ya ombi langu imebadilika jamanii utumishi watuonee huruma kwa kwelii 🤣
  4. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Naamini kwenye hili pia Mkuu safari hii Mungu anatuona
  5. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hahaha jamaa una 🔥 balaa
  6. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Yaani iko busy mfumo unachambuaa tu saa hizi
  7. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sure ndugu huku jau fitina nyingi wacha tukapime upepo kwengine watoee tu vibali hivyo
  8. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hahaha huko hakuna maokoto manene ila nimechoka huku😀
  9. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Dah!!! Mbona ujumbe mtamu sana huu na iwe kweli basi
  10. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hii kitu ya kuwazia kibali tupo wengi mkuu Mood ya kazi imekata
  11. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Tutatoboa tu Auto pia wana haki so tuache kuogopa mimi niliongea na mkuu wa taasisi hiyo ninayotaka kwenda nikamwambia ombi langu lilikuja kwenu ila limekubaliwa Auto na lipo utumishi wala hakushangaa
  12. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hawawezi kukataa maana mfumo ndo umesetiwa hivyo na wakuu wa hizo taasisi wameelekezwa usipofanyia kazi na ikaa auto na tasir yake umekubali
  13. E

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Nilianza na vacancy ika accept auto nikaendelea na kuinitiate now ipo kwa PO-PSMGG UTUMISHI tangu July 20
Back
Top Bottom