Recent content by Ernest 1234

  1. E

    JamiiForums Tanzania Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Upo sahihi kabisa kaka. Halotel walikuwa na kifurushi Cha unlimited ila sasa kimepoteza sifa ya kuitwa unlimited.. Watu wengi tunalia sasa 😭
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?

    Mimi pia natumia, Mwanzo ilikuwa vzr sana ila kwasasa inanisumbua sana upande wa so speed,Leo siku ya nne.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?

    Kaka tunaomba mrejesho kutoka kwako.... Mimi ninatumia unlimited ya halotel mwezi wa 4 . Ila kwasasa imeshuka sana speed siwezi kufanya kitu kbs... Leo siku ya nne. Nimewaambia niliponunua wananiambia halotel wanafanya maintainance hvy tuvumilie sipo peke yangu.😭😭😭
Back
Top Bottom