Recent content by Erm Consulting

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza ujasiriamali jiulize maswali haya muhimu

    1. Unatarajia kupata nini hasa kwa kuwa mjasiriamali? 2. Unatarajia kukipata lini hicho unachokihitaji? 3. Utahitaji nini kufanikisha ndoto yako? 4. Utajuaje kwamba umefanikiwa kuiishi ndoto yako? 5. Nini unatamani kukiona ikiwa ni matokeo ya wewe kufanikisha ndoto yako?
Back
Top Bottom