Recent content by erick ndunguru

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Brother acha ulimbukeni wa maisha.mtu amejikuna anapoweza wewe unaponda,wapi ilipandikwa kuwa magari dizaini hiyo ni kwa ajili ya wanawake. Wewe kama unavijisenti vyako unavyovipata kifisadi au fedha za urithi usiponde wenzako.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa mpaka rangi kucha

    Mkuu mbona hujiamini?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa mpaka rangi kucha

    Mkuu,si uongee na mkeo badala ya kumchimbia mtu mkwala tena mtandaoni?.Mbona hujiamini?
Back
Top Bottom