official naweza fanya kuendana na elimu yangu,mm ni development expert nimehitimu SUA 2023 Bachelor in rural development...lakini kwenye kibarua namaanisha naweza fanya shughuli yoyt inayohusisha uelewa wa kawaida wa binadamu kama waiter,usafi na shughul nynginezo
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,mkazi wa dar es salaam.Nina uhitaji wa kazi yoyote ambayo inaweza kuniingizia kipato.Kazi iwe official au kibarua naweza kukidhi vigezo vyake sababu nina vyeti mbalimbali ikiwemo cha A level na chuo endapo vitahitajika.mawasiliano 0696970622
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.