Nimeagwa ameenda kwenye mechi, naomba kufahamu hizo mechi zinachezwa muda wote ama kuna muda maalamu.
Naona tabia ya kuzima data imeanza tangu aje huko dodoma, hawa wake zetu kuna muda wanatia hasira sana.
Umekatika kuanzia muda gani? Muda mwingine serikali iangalie kuhamaisha mashindano kama haya.
Naona kwa upande wa shilingi inaweza changia uvunjifu wa ndoa ama kulea watoto wa mwanamme mwingine.
Habarini ndugu wana JF
Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?
Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.
Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.