True Say, Vikosi vya Marekani Korea Kusini haviwezi kuondolewa, Hata Korea Kusini wameconfirm kwamba miltary drills zitaendelea.
Kuhusu Mazungumzo kati ya Trump na Kim ilikua ni lazima tu yawepo ugumu ulikua ni kubashiri lini na wapi yangefanyika.
Vikwazo vipya vilivyotangazwa na Steve Mnuchin , mwezi february 2018,vikionya kampuni yoyote iliosaidia kufadhili mpango wa kinyuklia wa Pyeonyang itapoteza haki ya kufanya biashara na Marekani.
Mpango wa Marekani kuchunguza meli zinazo safirisha mizigo Korea Kaskazini. Hapa walengwa ni mabenki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.