Recent content by EPride

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kasi internet ya Vodacom

    Mie nieleweshe bado niko nyuma hapa hizo za halotel unlimited unajiungaje 50,000/- tzs au hiyo 100GB nieleweshe ni kitu kigeni kwangu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri Galaxy A73 5G

    So Expensive so far bei niliyokutana nayo ya chini kabisa ni 1,150,000/-, kwa mpya Fullboxed.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri Galaxy A73 5G

    Nioneshe huyo dealer mzuri
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri Galaxy A73 5G

    Wapi hapo Full Boxed? Nioneshe
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri Galaxy A73 5G

    Esim sio kigezo kikubwa sim bado zinatengenezwa na pande mbili NANO NA ESIM mimi nasubiri ambayo itakuwa fully esim support Bila physical sim card sasahivi nishauri vingine.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri Galaxy A73 5G

    Toa reason
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri Galaxy A73 5G

    Tayari niko Specific sector zote si inamudu? Kama kuna pungufu ndio useme
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri Galaxy A73 5G

    Nataka nichukue Samsung Galaxy A73 5G 8GB RAM, 256GB ROM.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

    Haha yaani mie mwenyewe nilishangaa, chakushangaza zaidi kwenye website yao iko pay on delivery option nimewauliza whatsapp wameniambia ndio unaweza pay on delivery, kuna option ya kuweka oda unajaza info na una click "pay on delivery" na ila kitu kimoja nilipoulizia hii husika wameniambia...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

    Niliona nijaribu kusubiri nitafute 8th gen kwa ajili na matumizi ya future nimekutana na hii vipi hapa bei Tzs 590,000/-(Ni Mpya) Asus Vivobook Thin and Lightweight HD Laptop Powerful 8th Generation Intel[emoji2400] Core[emoji769] i5-8250U 1.6GHz (Turbo up to 3.4GHz) processor 15.6” FHD WideView...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

    Hapa unisaidie tena i5 ina Full hd 1080P kosa ina 4GB ram na i7 ina 8GB ram haina full HD iko HD(1366x768). Ipi hapo sasa? Yenye bei ndogo ni i5 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. E

    JamiiForums Tanzania Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

    Also niko after QUALITY HP Ziko vizuri? Bajeti ya 700,000/- au napigwa?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. E

    JamiiForums Tanzania Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

    Kwahiyo hata games i7 inafaa (GTA 5) Inacheza vizuri na inaweza kuhandle kazi vizuri. Mie nina duka la dawa ila huwa nafanya editing 3D sio sana ila nikijiskia na napenda games? Au nisiisukume ikafa? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. E

    JamiiForums Tanzania Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

    Ipi kati ya hizi mbili HP Notebook 250 G5, Hp EliteBook 840 G3 i7 7th Generation 256 SSD ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

    Na Hii Hp EliteBook 840 G3 i7 7th Generation 256 SSD Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom