Kwanza tukubaliane kuwa CHADEMA ndo kimeshinda na sio Dr Slaa.Alafu tuukubali ukweli kwamba wakati huu unafiki wa baadhi ya wachumia tumbo hauna nafasi na safari ya kuelekea katika Tanzania tunayoitaka imeshaanza.
CHADEMA ni washindi,wameshinda kwenye miji mikuu yote ya nchi hii,maana yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.