Habari wana jamii forum.. nimesoma juu ya huyu mama nimeona hyu mama hana makosa mimi naamini mtu ukiwa na imani unapona, kuna mtoto wa ndugu yangu aliendaga katika ibada zake na maisha yake mazuri kwa sasa ameponywa kupitia kanisani pale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.