Recent content by Ensol Tanzania

  1. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Je unatumia kuni au heater za umeme kuchemsha maji? Husiangaike Ensol tuna HEATER ZA SOLAR. Kwa matumizi ya nyumbani,Lodge,Guest House na Hotelini.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Tungekushauri ununue angalau ya kuanzia lita 150 au 200 hizi sizi tunaamini zitatosha kwa matumizi yako.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Rombo kwenye baridi itafanya kazi vizuri sana. Gharama zingine ni ufundi ambayo ni 150,000 na usafiri kutoka Dar mpaka Rombo wa mfumo.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Ndio tunafunga solar pia, tunatoa huduma za solar za ku pump maji, umeme, taa za barabarani, back up system na kuchemsha maji. Tutakachohitaji kutoka kwako ni vitu gani unahitaji kuwasha na kwa muda gani ili tuweze kufanya sizing. unaweza kuwasiliana nasi kupitia info@ensol.co.tz. au piga simu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Hii ni sababu nyingine ya kukufanya utumie mfumo wetu wa kuchemsha maji, mfumo wetu hata kama kukiwa hakuna maji wenyewe hauna wasiwasi ya kuungua, unavumilia katika hali zote na ndio maana tunaku guarantee miaka mitao (5). Hatuna ofisi Mbeya ila tuna mafundi wa kufunga hii mifumo hapo jijini...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    haina haja ya sisi kuwepo kabla ya kuchimbia, mfumo wa kawaida ambao unatumika sehemu yeyote kwenye nyumba zozote mfumo wetu unaweza kufungwa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Mfumo wetu unakuja na tank zake.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Ndio, inabidi kuwe na mabomba mawili kuelekea juu, moja itabeleka maji ya baridi, na moja itachukuwa maji ya moto kuleta kwenye matumizi ndani ya nyumba yako.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Asante kwa swali zuri, kazi yetu haihusishi kazi ya bomba (plumbering) sisi tunaishia kukuwekea bomba ambalo lita leta (supply) maji ya moto katika miundombinu yako.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    N Ukishalipa unafungiwa mara moja, kama upo maeneo ya Dar Es Salaam ni siku mbili tu tunakufikishia mfumo wako na kuifunga, siku ya kwanza ni kwa ajili ya kufanya site visit. Tank ni hilo linaloonekana sehemu ya juu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Bei zetu zinatofautiana kutokana na huo ujazo, mfano Tanki la lita 100 ni shilingi 785,000/, lita 150 ni shilingi 995,000/ na za lita 200 ni 1,350,000/. Gharama nyingine inayoongezeka hapo ni ufundi ambayo ni shilingi 150,000/ kwa mifumo yote
  12. E

  13. E

    Asante sana Asigwa, mfumo huu ni wa kuchemsha maji mpaka centrigrade 80, na zinapatikana katika ujazo tofauti, kuna za kuanzia tanki la lita 100, 150 na 200. bei zake nazo zinatofautiana kutokana na huo ujazo, mfano Tanki la lita 100 ni shilingi 785,000/, lita 150 ni shilingi 995,000/ na za lita...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Ensol tunawaletea kwenu huduma mpya ya kifaa cha “Solar Water Heater” Hiki kifaa kimeletwa kwenu maalum kuhakikisha unapunguza gharama za kuchemsha maji kwa ajili ya kuogea na shughuli zingine za jikoni. v Ondoa gharama za umeme na gesi v Inapatikana katika ujazo kuanzia lita 100 v...
Back
Top Bottom