Maribabu ya fangasi nimeyafanya lakini pia bado sijaona nafuu.
Kuhusu kurudia boxer siwezi ila inaweza tokea mnasafiri mkalala njian na kesho safar inaendelea. Issue ni kuwa sio voxer tu hata suruali haivaliki siku mbili.
Thanks.ni vile tu moyo wa ubinadamu kuna mda uvumilivu unakata.
Yes mpaka leo nipo kwa sababu pia sijakata tamaa nasema ipo siku Mungu ataniona.Maana nilishawazaga mno namna yakuondoka hapa ulimwenguni lakini sikuweza tekeleza hata mara moja.
Asante sana dada Yangu.Najipa moyo badoila kiukweli ndani ya kichwa changu ni kama nimechanganyikiwa.Sijapoteza imani naamini ipo siku pengine dhahama hii itaniacha nipumnzike
Sawa kiongozi.Ila shida hii ilinikutawakati pengine sijui lolote kwa maana nilikuwa innocent.
Kwa sasa kiukweli chochote ambacho kinaweza nipa kupona nitajaribu.naishi kati ya uhai na kifo sina cha kupoteza.Nimepitia mengi mno
nakubaliana na lolote
Asante sana kiongozi.Natambua sana mchango wako juu ya hali yangu hii toka nilete mada hii siku ya kwanza.
Mungu akubariki sana.
Nitashukuru nikipata hata contact zake dm au hata jina lake ili nijue pakuanzia nikifika.
Inakuwepo ndugu isipokuwa sio rahisi kuisikia.
Ila inachachamaa nikishakaa kwenye joto ndio balaa.
Nikienda chooni labda nikatumia maji kujiswafi mida ya mchana hali huwa mbaya kuzidi maelezo.Yaani haitaki changamana na maji kabisa hasa midaya mchana labda uoge jumla
Sijawahi kuambiwa.Kutokana na hali hii mambo ya mahusiano nimekaa nayo mbali.
Lakini mara kadhaa nimegundua wakiniteta wale watu ambao tunakaa pamoja eneo ambalo siola wazi.
Ukiachilia mbali mimi kuisikia lakini unakuta labda tukiwa karibu hasa sehemu ambayo sio ya wazi mtu anaanza vuta pua kama...
Yaani kama ni kuniroga labda iwe sababu nyingine yaani nilikuwa ndio form one hata mashine haisimami vema.
Labda kama mtu aliniroga kwa issie za academics mkuu maana ndio eneo nilikuwa vizuri
Asante ndugu.Yes naombewa daily na mimi najiombea.Upande flani sijakata tamaa mara nyingine moyo unasema labda nitapona sasa.Kwa hyo bado naombewa lakini mambo ni magumu sana kadri muda usongavyo
Kuna mmoja aliniizama akasema haoni shida.Sema natamani labda wangefanya culture tuone.
Nikiwa nimetulia yaani ngozi ya huku inakuwa ya moto sana kiasi kwamba uligusa suruali eneo husika linakuwana joto kupita kiasi
Hapon jasho na harufu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.