Ujumbe umemfikia na amekuelewa ingawa ni sawa na kumpigia mbuzi taarabu ukidhani atacheza maana huyo mtu alisha lewa madaraka na kusahau kuwa hiyo ofisi ni mali ya umma na ni sawa na kiti ndani ya daladala unakikalia ukipanda na unakiachia ukishuka na wengine wanakalia
Wewe inawezekana hata hiyo Zimbabwe unaisoma kwenye uhuru na mzalendo na kuitazama kupitia tbc mimi zimbabwe ni sawa na njia ya msalani naijua vizuri sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.