Britain or Great Britain ni muunganiko wa visiwa vya nchi vitatu yaani England, Scotland na Wales
UK ni muungano wa visiwa vya nchi tano yaani England, Scotland , Wales, Highland ya kusini na Highland ya kaskani.
England ni nchi miongoni mwa nchi zinazounda United Kingdom.
kama kwa kugundua ziwa tanganyika sawa, lakini waswahili walishaligundua siku nyingi kabla yao...
I appreciate German the fathers of Mathematics and Physics Duniani, lakini hakuna sayari waliyowahi fika.
Wewe umetoa dolali ngapi? unataka sema unateknolojia ya kuizidi Iran?
Haujui Ibrahim alitokea nchi ya Irani, kabla ya kuamuliwa kwenda atakapomuonesha Mungu?
Kuna uhusiano mkubwa sana kwa Kiev na Moscow hasa kupitia imani yao ya kanisa la Orthodox, naamini pengine kusingekua na common interest leo hii kusingekua na taifa linaitwa Ukrain, zaidi ungesikia Kievskaya.
Pamoja na mavikwazo ya kiuchumi, lakini hawa jamaa wako mbele sana. Right kama TZ ingewahi kupata vikwazo vya kiuchumi kama Iran, nahisi tungekua zaidi ya wale jamaa walioigiza god must be crazy..
The advantages walizonazo IDF/ Mossad ni kuwa watu wao au asili ya watu wao wapo almost nchi zote duniani. Kwa mfano ukifuatilia historia ya kupanda kwa Hitler Adolph, ni kuwa aliwachukia wayahudi waliokua jeshi la ujeruman baada ya kuonekana ni wasaliti kwa nchi yao ya ujeruman. Na Ujeruman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.