Recent content by ENGINEER1

  1. E

    Kwa watumiaji wa android Tv kuperuzi Netflix

    Asante boss we Unatumia Netflix?
  2. E

    Kwa watumiaji wa android Tv kuperuzi Netflix

    Habar za mda huuu wakuu Kwa watumiaji wa android Tv naomba kuuliza aiseh nmenunua smart tv na lengo langu nlikuw napenda kutumia Netflix ila kuna kipengele nikiwa nafungua Netflix inaniletea get started afu kwa pembeni kuna log in ila sasa nabonyeza kila pande nashindwa sehem ya kupitia...
  3. E

    Nauza Betri za sola zilizochoka

    Asante kaka unaweza nipatia namba yake ya simu
  4. E

    Nauza Betri za sola zilizochoka

    Kagera bukoba
  5. E

    Nauza Betri za sola zilizochoka

    Karibu mysol kampuni inayojihusisha na uuzaji wa Sola za mikopo karibu tunazo Sola watts 80,120,na 200 na tunauza kwa cash ama mkopo unatanguliza ela kidogo na unafungiwa vifaa vyako nyumbani pamoja na azamtv na kifurush Cha mwez mzima karibu tukuhudumie
  6. E

    Kwanini maisha yamekuwa kazi tu, kazi! Mbona hatuna muda wa raha?

    Kuna wengine hizo kazi za kukimbizana wanazitafta zinawakosa
Back
Top Bottom