Recent content by Eng CA Christopher

  1. Eng CA Christopher

    SoC03 Kuwa na ufahamu mtambuka juu ya uzalendo

    Vijana wengi wakitanzania hasa wasomi wamekua vibarakaa kutokana na kwamba wengi wao wapo kimaslahi zaidi. Hivyo basi wamejikuta wanakosa uzalendo na nchi yao, kila kinachofanyika ambacho sio sawa wamekua wanatetea kutokana na kwamba wamejali maslahi yao binafsi zaidi kuliko nchi yao...
  2. Eng CA Christopher

    SoC03 Uwajibikaji kwa vijana na kutambua nafasi yao katika jamii

    Walioko mtaani nao wana umuhimu pia wakuelimishwa,, ila nimesema wa vyuoni maana hao ndio watakao tumika kwenda kuw aelimisha wenzao wa mtaani,, na kama wa vyuoni hawatapata hio elimu basi wataenda kuwapotosha wenzao wa mtaani
  3. Eng CA Christopher

    SoC03 Uwajibikaji wa viongozi kuzitambua nafasi zao katika jamii

    Kwa kuanza, swala la uzalendo ni swala pana hasa katika maslahi ya nchi au taifa kwa ujumla. Tukianza na viongozi waasisi Mfano Nyerere wa Tanzania na Mandela wa Africa ya kusini walikuwa ni viongozi wa mfano katika swala la uzalendo. Kinachosikitisha ni kwamba kwa viongozi tulio nao kwa sasa...
  4. Eng CA Christopher

    SoC03 Uwajibikaji kwa vijana na kutambua nafasi yao katika jamii

    Kwa kuanza, moja kati ya nchi zenye idadi kubwa kabisa ya vijana barani Africa ni Tanzania. Ila chakusikitisha ni kwamba idadi ya vijana wengi wakitanzania hawazitambui nafasi zao katika jamii, ilihali wengi wao wakiwa ni wasomi wa elimu ya juu Mfano wa nafasi hizo ni Siasa Utunzaji wa...
Back
Top Bottom