Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nilinunua router ya halotel kipindi wanaanza huduma zao, mtandao ulikua na speed na package zao zilikua poa sana.
Kwa sasa nao wamekua slow sana na package zao zimepanda sana. Naomba kuelewa kama kuna namna naweza kuifanya router kuwa universal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.