Recent content by Emorimori

  1. E

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    muundo huu ni mzuri! lakini je utafika kutokana na mchakato wa katiba unavyoendelea?
  2. E

    Kupendwa kwa CHADEMA ni Watanzania ndio wamechagua hivyo!

    Wanajamvi, Napenda kusema kwamba kupendwa ama kuchukiwa na watu ni chaguo lako, ukitaka jamii ikupende itakupenda na ukitaka jamii pia ikuchukie pia hakuna kipingamizi, ni ukweli usiopingika kuwa hivi sasa CCM inachukiwa sana na jamii kwasababu imechagua njia hiyo kwa kufanya matendo maovu...
  3. E

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    police wanahusika na kile ccm inachohusika nacho! ndio maana sasa hv wanahaha kujaribu kufanya namna ya wazuia cdm kuwa na chombo cha kujilinda.ila kwa sasa wamechelewa inabidi wa rudi kwanza kwa ccm wawambie wako kinyume na sheria ndio waje cdm bila hivyo wamechemsha
Back
Top Bottom