Recent content by emoki

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupanga Jordan-Moro

    Welcome Juco.masomo yameshaanza.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupanga Jordan-Moro

    Ni hivi,karibu na Jordan kuna hostel binafsi za watu 3,6,4,2, na unalipa 360000,400000,350000 per annum but ukitaka kupanga kwa mtu chumba chenye usalama 65000,70000,per month
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu ya chuo kikuu SMMUCO

    Hahahahahaha!ten years ago.usijilazimishe kutumia lugha za watu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuandamana kesho HESLB soma hapa

    Poleni sana ndungu zangu mliokosa mkopo,hakika inauma nina mdogo wangu si wa kuzaliwa nimekutana naye chuo aliugua siku tatu kwa kukosa mkopo.Yote ni kwasababu ya maisha ya nyumbani kwao.Anawaza ni vipi atasoma.Jamani serikali mnatengeneza nini?je taifa la kesho liongozwe na nani?je nchi...
  5. E

    JamiiForums Tanzania HESLB, mnatufanyia nini hivi?

    Jamani naombeni mnieleweshe Ina maana maombi ya mkopo yanafanyika mara mbili au kuna utaratibu gani?
  6. E

    JamiiForums Tanzania NACTE waitwika zigo TCU

    Huku ni kurushana roho.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Education in Special Needs

    Hongera nilitamani wanichague ila ndo ivo Mungu hajapenda
  8. E

    JamiiForums Tanzania Jordan University College, tufahamine hapa

    Acheni dharau eti chuo kipya cha kata.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

    Jordan
  10. E

    JamiiForums Tanzania Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

    Nimetumiwa email kutoka chuoni imeambatanishwa name join instruction and fees structure
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kuhusu walimu wahitimu vyuo vikuu kwenda JKT

    Unazingua.hatuendi jkt
  12. E

    JamiiForums Tanzania Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

    Mi nimejaza vitano ila nimechaguliwa cha nne
  13. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka TCU

    Jamani Jordan morogoro washapokea majina toka TCU Leo na wametuma SMS pamoja na email kwa walochaguliwa.sijaambiwa na mtu nimeshuhudia
  14. E

    JamiiForums Tanzania TCU wametoa post tayari

    Bora niwe mpole
  15. E

    JamiiForums Tanzania TCU wametoa post tayari

    Mi nahic kuchanganyikiwa cjui nimechaguliwa wap
Back
Top Bottom