Sina hamu na hao watu kabisa na nikimsikia mtu yeyote anayetaka kwenda Bayport hata nisiyemjua namueleza kama ni wa kuelewa ataelewa, ukikopa kwao hakikisha umeshakuwa mtumwa, kutoka ni ngumu, mkataba wao unaonyesha kuwa ukifanya settlement hela inashuka lkn cha ajabu nimeenda kuomba balance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.