Recent content by Emmily360

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana mtoto wa miezi 11, wakati wa hedhi anatokwa na mabonge ya damu na kuumwa tumbo

    Habari, Nina mpenzi wangu ana mtoto wa miezi 11. Kuna shida imempata wakati wa hedhi yake kwani anatoka mabonge meusi ya damu halafu usiku tumbo linamuuma sana upande wa kushoto chini ya kitovu. Nimejaribu kumuuliza kama alishawahi pata hili tatizo lakin akasema hajawahi kuona hiyo shida...
Back
Top Bottom